Bei za Mazao zipae maradufu mkulima apate hela yake, kuhusu bei za bidhaa nyingine kupanda haimuathiri mkulima tu , mbona mishahara ya waajiriwa ikipanda watu hamlalamiki ? ni wakati sasa muwaache wakulima wafaidi jasho lao

Na pamoja na hayo yote bado kuna madalali hapo katikati ambao wanachangia kwa kiasi kikubwa sana bei za Mazao kupanda . madalali wadhibitiwe ili mkulima auze kwa bei nafuu lakini yenye faida kwake na ambayo itamuwezesha kurudi tena shambani kuzalisha zaidi