Je, kupata rangi milango ya mbao laini kunaweza kuzuia wadudu wasiitafune?

Je, kupata rangi milango ya mbao laini kunaweza kuzuia wadudu wasiitafune?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Rejea swali hilo wakuu.

Mbao ngumu bei mkasi sana, japo wadudu wakipekenya ni hasara zaidi.

Mimi huwa nikiona milango imepakwa rangi naamini tu ni mbao za kawaida. Ila unakuta ziko poa na zimedumu kwa uimara wake.

Nini hufanyika, au uimara hutegemea na nini?

Natanguliza shukrani.
 
Mara nying milango hailiwagi na wadudu ila frem ndiyo zina liwa na wadudu kama siyo mbao imara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia MAHOGAN, Hii ni aina ya vanish ambayo harufu yake wadudu hawawezi kusogelea, ni nzuri sana kwa milango na makabati.
 
Back
Top Bottom