Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Salaam great thinkers
Talaka zimekuwa gumzo/talk of town.
Kwa mtazamo wako, unahisi nini kinapelekea, watu waliopendana, wakaoana kwa hiari/utashi wao bila shuruti, wakaishi na kupata watoto, wanaamua kuachana kila mtu ashike hamsini zake?.
Sitaki kuhukumu, naamini kila mtu ana sababu muhimu inayomfanya afanye maamuzi ya kuachana.
Je unafikiri maamuzi haya yana hekima? Je kabla ya kuachana huwa tunaangalia matokeo ya kuachana kwetu? Hao watoto tunaweka kwenye hali gani? Familia hizi mbili zilizokuwa connected na wanandoa tunaziweka katika hali gani?
Nawasilisha.