Je, Kupiga Punyeto kunaleta shida ya kusahau?

Je, Kupiga Punyeto kunaleta shida ya kusahau?

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Habari Wadau,

Tangu nipo Shule nimekuwa nikisikia hoja ya wadau wakisema kuwa, unapiga punyeto mara kwa mara utakumbwa na shida ya kusahau kusiko kwa kawaida.

Upi ukweli wa madai haya?
 
Back
Top Bottom