Je, kura za mtandaoni zinatoa picha halisi za matokeo ya Uchaguzi Mkuu?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Habari zenyu wakuu,

Nimeona watu wanashadadia kura za X(Twitter) zinazowahusu Kamala na Trump, kuwa Trump kashinda na Kamala ndio imekula kwake.

Lakini hapa hata mimi ambaye sitashiriki uchaguzi wa Marekani nimeweza kupiga kura, hii imekaaje, au anayechaguliwa ndio anakuwa anakubalika dunia nzima?🙄

Kwahiyo, ni sawa kusema kura za mtandaoni zinamtoa mshindi wa Uchaguzi Mkuu, yaani akishinda pale ndio imeisha hiyo?

 
Hazitoi picha halisi hata kidogo, kura za maoni kuna kanuni zake za kufatwa ili ziakisi uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…