Je, Kusalimia Watu ni jambo la lazima???

Je, Kusalimia Watu ni jambo la lazima???

Shinga255

New Member
Joined
Feb 20, 2021
Posts
4
Reaction score
1
hivi kusalimia ni lazima hata ukiwa kwenye chombo cha moto unaendesha maana unakuta wanalalamika unawapita tu bila salam wakat ulikua unadrive
 
hivi kusalimia ni lazima hata ukiwa kwenye chombo cha moto unaendesha maana unakuta wanalalamika unawapita tu bila salam wakat ulikua unadrive
Salamu ni utashi sio sheria...wale wa kusalimia sana magari sio yao
 
Ukipata changamoto kwenye hilo gari lako ndio utajua umuhimu wa ku socialize,
 
mi nwenyewe sipend kusalimia watu kwakweli na sina chochote cha kulingia au kunifanya kujisikia basi tu ndo nimekua hivo
Utaenda siku kuulizia kitu bila kusalimia afu uone kama utasaidiwa🤪 nakumbuka ilinitokea puani 2009 ndio nikaona umuhimu
 
hivi kusalimia ni lazima hata ukiwa kwenye chombo cha moto unaendesha maana unakuta wanalalamika unawapita tu bila salam wakat ulikua unadrive
Tatizo sio chombo cha usafiri tatizo ni wewe, kwani ni nani huwa anendesha hicho chombo?
 
hivi kusalimia ni lazima hata ukiwa kwenye chombo cha moto unaendesha maana unakuta wanalalamika unawapita tu bila salam wakat ulikua unadrive
Sio lazima ila siku gari ikikwama sehemu ndio utawajua wananzego kwa nini wanasalimia
 
Utaenda siku kuulizia kitu bila kusalimia afu uone kama utasaidiwa[emoji2957] nakumbuka ilinitokea puani 2009 ndio nikaona umuhimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba umewapita raia kavu kavu hafu ukapotea njia unarud kuuliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utajua hujui , kwa upande wangu siwezi kurudi nyuma kabisa [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom