Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF doctor naleta mada kwenu. Je frequency ejaculation inaweza kusababisha mtu kutopata mtoto kwa haraka.?
Yaani mtu anapofanya sex mara kwa mara may be kila baada ya siku 3 au 4
Hebu tumalize huu ubishi. THANKS
Wana JF doctor naleta mada kwenu. Je frequency ejaculation inaweza kusababisha mtu kutopata mtoto kwa haraka.?
Yaani mtu anapofanya sex mara kwa mara may be kila baada ya siku 3 au 4
Jibu rahisi ni HAPANA...
Why sasa
Jibu rahisi ni HAPANA...
Unapouliza kwa nini, ina maana una majibu mengine?
Hiyo ni fact mkuu haina kujadili
Hivi kufanya baada ya siku 3 au 4 ni mara kwa mara?
Au sijaelewa swali?
Hivi kufanya baada ya siku 3 au 4 ni mara kwa mara?
Au sijaelewa swali?
Jibu rahisi ni HAPANA...