Je, kusimika nguzo za umeme wa gredi ya taifa na kutandaza mabomba kutoka mtwara-dar lipi gharama?

Je, kusimika nguzo za umeme wa gredi ya taifa na kutandaza mabomba kutoka mtwara-dar lipi gharama?

Joined
Jan 3, 2013
Posts
63
Reaction score
8
WATAALAM MBALIMBALI WA GESI WANASEMA KUSIMIKA NGUZO ZA GREDI YA TAIFA NI GHARAMA KULIKO KULAZA MABOMBA????? NAOMBA MCHANGO WENU WENYE MAKADILIO YA GHARAMA!!!!!!! NAWASILISHA HOJA!:israel::israel:
 
Nguzo na bomba ipi ghali?
kutoka Mtwara mpaka Dar kutatumia nguzo ngapi na kama ni mabomba yatatumika mangapi?
Kwanini serikali inadumaza maendeleo ya mikoa mingine na kuipendelea Dar pekee?
Ndio maana Chadema inaleta sera ya Majimbo nadhani ndo itakuwa muarobaini wa matatizo haya.
 
WATAALAM MBALIMBALI
WA GESI WANASEMA KUSIMIKA NGUZO ZA GREDI YA TAIFA NI GHARAMA KULIKO
KULAZA MABOMBA????? NAOMBA MCHANGO WENU WENYE MAKADILIO YA
GHARAMA!!!!!!! NAWASILISHA HOJA!:israel::israel:
gharama itakuwa kubwa kama zikiwekwa nguzo afu bado bomba likahitajika kwajili ya matumizi ya viwandan na majumbani na hata katika magari.haya ondoa uzi wako wa kinafiki......
 
eleweni kwanza nguzo ni gharama sana na ninajua wengi huona nguzo zikipita tu hawajui gharama ya tower moja mpaka kusimama ni sh ngapi na mtwara dar ni tower ngapi
 
Nguzo na bomba ipi ghali?
kutoka Mtwara mpaka Dar kutatumia nguzo ngapi na kama ni mabomba yatatumika mangapi?
Kwanini serikali inadumaza maendeleo ya mikoa mingine na kuipendelea Dar pekee?
Ndio maana Chadema inaleta sera ya Majimbo nadhani ndo itakuwa muarobaini wa matatizo haya.

we mbaguzi na majimbo yako uchambue mambo kwa busara bila kujazwa ushabiki wa kisiasa, umeambiwa gesi inaletwa dar kuzalisha umeme tu?
 
kwa hiyo mnazani hiyo gesi ikibaki hapo mtwara ndio itabadilika kuwa hela? basi katazeni isipande meli kwenda marekanai pia
 
gharama itakuwa kubwa kama zikiwekwa nguzo afu bado bomba likahitajika kwajili ya matumizi ya viwandan na majumbani na hata katika magari.haya ondoa uzi wako wa kinafiki......

one professor said:"common sense is common but not common to all"
 
WATAALAM MBALIMBALI WA GESI WANASEMA KUSIMIKA NGUZO ZA GREDI YA TAIFA NI GHARAMA KULIKO KULAZA MABOMBA????? NAOMBA MCHANGO WENU WENYE MAKADILIO YA GHARAMA!!!!!!! NAWASILISHA HOJA!:israel::israel:

Sa kama watalaamu walishasema, sa unahitaji makadirio ya nini?
 
WATAALAM MBALIMBALI WA GESI WANASEMA KUSIMIKA NGUZO ZA GREDI YA TAIFA NI GHARAMA KULIKO KULAZA MABOMBA????? NAOMBA MCHANGO WENU WENYE MAKADILIO YA GHARAMA!!!!!!! NAWASILISHA HOJA!:israel::israel:

Ni aibu kwa Taifa lililopata uhuru miaka 51 iliyopita na halina power transmission lines za nguvu kwenye line ya mikoa ya mtwara,lindi na pwani au kwenye line ya mikoa ya mtwara lindi,na morogoro. Kitu ambacho walichokuwa wanatakiwa kukifanya sasa hivi ni kuunganisha lines kuu za mikoa kwa mikoa hadi kufika Dar.
Leo hii mtu anasimama na kusema ni gharama kuweka nguzo kuliko bomba(ingawa inawezekana ikawa kweli) na watu wanamshangilia na kuona ameongea point na kusahau uzembe wa serikali kuisahau hiyo mikoa kwa makusudi ndio umesababisha hili.
 
gharama itakuwa kubwa kama zikiwekwa nguzo afu bado bomba likahitajika kwajili ya matumizi ya viwandan na majumbani na hata katika magari.haya ondoa uzi wako wa kinafiki......

Mkuu hilo ndo tatizo la msingi kwamba hakuna anae jua kwa nini gas inapelekwa kwa bomba daslam!? Ni kuzalisha umeme? Ku endesha viwanda? Kwa matumizi ya magari? Kwa matumizi ya majumbani? Au?????
1. Kama ni umeme jenga mitambo mtwara kwenye gas gharama za uzalishaji zitapungua na wananchi watapata umeme kwa bei nafuu, fahamu hizo gharama za ujenzi wa bomba na maintenance yake zitalipwa na mtumia umeme
2. Viwanda - je ni vya daslam tu ndo vinahitaji gas? Kwa nini hilo lisishughulikiwe na wizara ya viwanda kusambaza gas ya viwandani nchi nzima?
3. Magari- kama umeme, gas ya kuendeshea magari ni nafuu kuzalishwa mtwara na kusambazwa nchini nzima
4. Matumizi ya nyumbani- inawezekana kusambazwa nchi nzima kutokea mtwara bila kupitia daslam
Tunaambiwa raslimali ni kwa manufaa ya nchi lakini kwa maamuzi ya kichizi kama haya raslimali ni kwa manufaa ya daslam, sirikali ya ccm haisemi kwa kupeleka bomba la gas daslam wananchi wa mikoa mingine watafaidikaje na hiyo raslimali. Hili ni suala la ki taifa lenye mjadala mpana wa matumizi ya raslimali za watanzania, lisichukuliwe kirahisi raisi tu au kiushabiki mtwara vs daslam au upinzani vs ccm
 
Je kipi bora? Kuingia gharama kubwa ili kuboresha miundo mbinu Mtwara once and for all, au kuendelea kurundika kila kitu Dar kwa kutazama manufaa ya muda mfupi?
 
Back
Top Bottom