Unaweza ukajua ni lini mkuu asijebaki nyumbani ana ufaulu mzuriNdiyo itakuwepo
sasa hao walioomba wanajuwaje kama wamechaguliwa na hivyo vyuo jamani
Tarehe 16/9 linafunguliwa tena
Ni diploma au kidato cha sita...?Wakuu ndugu yangu kachelewa kuomba chuo hivyo nauliza kutakuwa na awamu nyingine baada ya kufungwa 05/08/2020 kufungwa?
Asante
Kidato cha sitaNi diploma au kidato cha sita...?