Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kitendo cha Yanga kutolewa kwenye nusu fainali ilihali walikuwa na uwezo wa kuwafunga Azam, kutokana na kikosi kizito ambacho wanacho YANGA.
kwa sisi wachambuzi kinaonyesha wazi kwamba yanga waliamua tu kulegeza mechi kwa sababu mbali mbali Kama zifuatazo
1. Kumuachia mtaani wao SIMBA ili angalau apate hizo M 25 ili zimsaidie kujenga uwanja .....kuliko kuendela kutembeza bakuli kwa watanzania
2. Mwaka Jana walishinda kombe hili so mwaka huu wanataka angalau watani nao wapate ......ili wasije kuanza kulia kuhusu Fair play
Je, unadhani hiz sababu huenda zina ukweli?