Je, kutolewa kwa Yanga wameonyesha fair play kwenye kombe la mapinduzi?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kitendo cha Yanga kutolewa kwenye nusu fainali ilihali walikuwa na uwezo wa kuwafunga Azam, kutokana na kikosi kizito ambacho wanacho YANGA.

kwa sisi wachambuzi kinaonyesha wazi kwamba yanga waliamua tu kulegeza mechi kwa sababu mbali mbali Kama zifuatazo

1. Kumuachia mtaani wao SIMBA ili angalau apate hizo M 25 ili zimsaidie kujenga uwanja .....kuliko kuendela kutembeza bakuli kwa watanzania


2. Mwaka Jana walishinda kombe hili so mwaka huu wanataka angalau watani nao wapate ......ili wasije kuanza kulia kuhusu Fair play

Je, unadhani hiz sababu huenda zina ukweli?


 
Kwa namna Mayele alivyoshangilia ile penalt hauwezi kushawishi mtu kuwa uto walimuachia azam.
Hapana.....mkuu....inaweza kuwa ilikuwa ni kuzuga tu
 
Hawawezi kuelewa hawa kolo kitimu kile namungo kinashika nafasi huko chini chini kabisa.
 
Mkuu tukienda kwenye uhalisia wa mambo ni kwamba viongozi wa Yanga hawajitambui. awali uongozi wa Yanga waliidharau mashindano na ndio maana wachezaji muhimu pamoja na kocha mkuu wakapewa mapumziko tofauti na ilivyokuwa kwa Simba ambapo waliitumia hii michuano kimalengo zaidi ya kuimarisha kikosi chao zaidi na ndio maana umeona kwanzia mechi ya kwanza Simba na Azam wameweka wachezaji karibia wote waliokuwa wanaanza kikosi cha kwanza.

Hao hao viongozi wanageuka tena kuona kuna umuhimu wa Yanga kufuzu hatua ya nusu fainali hivyo wakakurupuka kuwazoa wakina Bangala ambao waliokuwa wanakula bata tu mtaani unawazoa wafanye mazoezi siku moja tena kwa masaa kadhaa halafu kesho yake wacheze mechi. Aisee mpira hauko hivyo

Ukija upande wa wachezaji ni kwamba ukiangalia nafsini mwao hakuna hata mmoja aliyetamani kutolewa. Na ndio maana unaona akipiga penati kisha akapata anafurahia mno na alipokosa Yasin walinyong'onyea mno. Wachezaji walitamani wafuzu ila wamezidiwa na Azam.
 
Mkuu kwasasa tunaongea kujifariji tu lakini hii kauli yako itakuwa na maana sana endapo Azam atachukua kombe mbele ya Simba. ila kama Simba atatwaa kombe basi mkuu itakuwa ni kama umeitusi na timu yako
Cha muhimu tusubiri Final kama simba akimfunga azam hapo tutakubali lakini akishindwa..?
 
Mkuu tukienda kwenye uhalisia wa mambo ni kwamba viongozi wa Yanga hawajitambui. awali uongozi wa Yanga waliidharau mashindano na ndio maana wachezaji muhimu...
Hivi wachezaji wanapewa likizo na ligi haijaisha kwanini?

Halafu ni bora hawa kina bangala wasingerudi kabisa walipaswa wamalizie hawa wa mwanzo kina makambo tu.

Kituko zaidi ni lile la kumtoa mshery na kumuingiza johora ambaye hajawahi kucheza mechi hata moja.

Huu uongozi ni wa kipopoma kweli na nabi anapewa likizo ligi hata haijaisha kweli?

Tulistahili kufungwa ndani ya 90 mins kilichosaidia ni ubora wa mwamnyeto na wenzie pamoja na mshery alijitahidi kutuliza presha.

Yule dogo wa azam tepsie ni hatari Sana.
 
Fair play ni hii comment yako so utopolo wa mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…