Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Mamboz wanajamvi... Huu uzi nimeupata kwenye forum moja hivi nikaona ni bora tushee wote ili tuone imekaaje. Kuna walicomment kwamba kuwa na mtoto kabla ndoa ni u.m.a.l.a.y.a. Samahani kwa nitakaowakwaza kwani nimekocpy tu toka huko.
Hili suala kwenu ninyi Gret Thinkers imalionaje? Make kuna wengine wanaamua kabisa kuwa na mtoto kabla ya ndoa na wengine ni bahati mbaya, wengine walibakwa na vitu kama hivo! Hebu tuendelee
Mara nyingi haileti picha nzuri katika jamii otherwise iwe imetokea kwa bahati mbaya tu.

Ni uzinzi ,ukahaba tu. Sitaki kutafuna maneno. najua mtanitukana, potelea Nairobi!!! Lazima maovu yakemewe
Wewe dini gani, au huna dini kabisa? Kama unayo dini yako inasemaje?
unajuaa kwa vijana[kiumeni} kunaa ulee umrii flani 25-29,umriii mbaya sanaaa huo kama hujaowaa,kuna zilee za kupigaa kavu kavuu yani mwanaume unajillipua[PUUUUUU],kupata mtoto nirahisi sana[wanaitwa watoto wa majaribio...jokes],sioni kama mtoto wa kike akiwa na mtoto kabla ya ndoa ni u. ma..la..ya,labda kijana alimrubuni wataishi pamojaa baada ya kumpa bendi kasepaa,niwangapiii hawana watoto ilaa wametoaa mimbaaa kibao.BABY IS THE GIFT DIRECT FROM GOOD...BE HAPPY FOR WAT U HAVE,OTHER THEY PRAY AND CRY TO HAVE IT..UR LUCK.
Mara nyingi haileti picha nzuri katika jamii otherwise iwe imetokea kwa bahati mbaya tu.
Swala la mtoto nje ya ndoa si umalaya maana wapo malaya hawapati na hawataki hao watoto hivyo , kuzaa nje kabla ndoa ni uamuzi tu kama ni umalaya malaya wote wangekuwa na watoto kila mwaka.
Si ndo hapo sasa make lawama na matusi yote humuendea mwanamke je huyo mwanamke alijipa mimba pekeyake???/ ingekuwa ukipata mimba na mwanaume anapata mimba ingekuwa sawa kweli make matusi yanazidi mara huyu ma.la.ya. cjui huwa anajifanya mwenyewe??hapa huyo anae onekana malay@ ni Me au Ke?
imekaa poa.nani anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia siku hizi.raha ya mke ni yule anaezaa.Mamboz wanajamvi... Huu uzi nimeupata kwenye forum moja hivi nikaona ni bora tushee wote ili tuone imekaaje. Kuna walicomment kwamba kuwa na mtoto kabla ndoa ni u.m.a.l.a.y.a. Samahani kwa nitakaowakwaza kwani nimekocpy tu toka huko.
Hili suala kwenu ninyi Gret Thinkers imalionaje? Make kuna wengine wanaamua kabisa kuwa na mtoto kabla ya ndoa na wengine ni bahati mbaya, wengine walibakwa na vitu kama hivo! Hebu tuendelee