Je, kuwekeza UTT AMIS ni mfuko gani ambao hauna hatari?

Je, kuwekeza UTT AMIS ni mfuko gani ambao hauna hatari?

raees

Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
43
Reaction score
46
Habari wanajukwaa nilikuwa nataka kuuliza kuwekaza utt ni mfuko gani ambao hauna risk yeyote kabisa mm ndio nataka nianze hela kiasi 7M
 
Hakuna mfuko ambao hauna risk labda tofauti ni kiwango, alafu sio kila kitu unaanzisha nyuzi , hili jambo lishazungumzwa thousand times humu , ungetafuta tu
 
Hakuna mfuko ambao hauna risk labda tofauti ni kiwango, alafu sio kila kitu unaanzisha nyuzi , hili jambo lishazungumzwa thousand times humu , ungetafuta tu
Mkuu Ana haki ya kuuliza, Na pia Jamii Forum wana utaratibu wao kama contents zinafanana basi zitaunganishwa kuwa Uzi mmoja,
 
Back
Top Bottom