james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 693
- 690
Wakuu habari kwa sasa nipo ukanda wa ziwa tanganyika kijiji kimoja cha ndani kbs(jina nalihifazi). kwa takriban miezi mitatu sasa nimezoena na watu kidogo ila juzi kunambibi jirani yangu anashamba huko milimani akaniambia kuwa shambani kwake anapolima kunamahali akiwa analima anapata shida sana ni sehemu ya mawemawe na jembe linakuwa linakuwa kamalinavutwa chini kama kunausumaku unaolivuta chini sasa anapata shida sana kulima eneo hiloo bc nikamuomba leo jumapili twende wote shambani kwake huku nikajione bc takribani saa moja na nusu tukafika kweli shamba nikaliona na hiyo sehemu nikaoneshwa inamawemawe makubwa makubwa na dizaini kama kunamapango sasa kwa hali kama hy wajuzi wa mambo inawezekan kunamadini gani hapo au ni hali ya kawaida tu