LGE2024 Je, kwa hapa Ally Bananga Alimaanisha nini?

LGE2024 Je, kwa hapa Ally Bananga Alimaanisha nini?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hebu Someni wenye muelewe na Mtueleweshe na sisi wengine wenye Vichwa Vigumu

Screenshot_2024-10-12-15-44-58-1.png
Screenshot_2024-10-12-15-45-02-1.png
 
Ni kawaida wapumbavu wa ccm kupigana mkwara na wapumbavu wenzao wa chadema
 
Hicho Cheo kilikuwaga cha Haji Manara wa Makolo FC kabla hajahamia Utopolo FC 😂😂
 
Nikikumbuka post zake alipokuwa chadema.
Kweli usimuamini mwanasiasa

Nakumbuka mwaka 2012 nilihudhuria mkutano wake yeye na Alphonce Mawazo. Alikuwa ana wimbo wake unaimba:
"CHADEMA imechachamaa chaaa! Imechachamaa chaaaa!"

Wimbo ulikuwa mzuri Sana Hadi unahamasisha.
 
Back
Top Bottom