Je,Kwa haya matokeo ,ana sifa ya kuendelea na A Level?

Sultan_mdosse

Senior Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
145
Reaction score
16
Habari ya weekend wana jukwaa? Nina ndugu yng alili-sit mwaka jn 2013 km mtahiniwa wa kujitegemea(P1407/0060).Amepata CIV-C,HIST-C,GEO-C,ENGL-B.Sasa kutokana na mabadiliko ya madaraja ya ufaulu ambapo hapo awali ukiwa na C3 unakua na sifa ya kuendelea na A level ktk shule binafsi.je,kwa mabadiliko hayo ya vwango vya ufaulu,anaweza kuendelea na advance?
 
cjasikia kama mfumo wa juingia advance umebadilishwa nafikiri bado sheria ziko hivyohivyo, uyo ndugu yako amefanya vizuri sana aisee
 
aanze maandaliz ya a level hapo anaenda bila kujiuliza maswal meng.. kafanya vizur sn. hongera zake.
 
cjasikia kama mfumo wa juingia advance umebadilishwa nafikiri bado sheria ziko hivyohivyo, uyo ndugu yako amefanya vizuri sana aisee
shukrani mkuu kwa kumtoa hofu alionayo,Itabidi maandalizi yaanze ss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…