Sultan_mdosse
Senior Member
- Nov 24, 2013
- 145
- 16
Habari ya weekend wana jukwaa? Nina ndugu yng alili-sit mwaka jn 2013 km mtahiniwa wa kujitegemea(P1407/0060).Amepata CIV-C,HIST-C,GEO-C,ENGL-B.Sasa kutokana na mabadiliko ya madaraja ya ufaulu ambapo hapo awali ukiwa na C3 unakua na sifa ya kuendelea na A level ktk shule binafsi.je,kwa mabadiliko hayo ya vwango vya ufaulu,anaweza kuendelea na advance?