Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 743
- 1,522
Ccm waliweka sheria za kulinda utawala wao kuwa uonekane kuwa ndio utawala wa milele kwenye hili taifa. Kitu ambacho kinatupatia hasara kama faifa. Muasisi wa hili taifa alituingiza kwenye hili tatizo. Hili taifa mpaka sasa hakuna mtu mzalendo kutoka chama cha mapinduzi. Bali wapo kimaslahi tu. Ndio maana wao hukataa reforms ili waendeleee kuitafuna nchi yetu. Ukisikiliza na kusoma report ya CAG na yanayo fanyika kama taifa utaona kuwa tupo katika taifa la namna gani. Hakuna mbadhirifu anaeweza kuchukuliwa hatua za kisheria . Hakuna sheria zinazolinda rasilimali zetu zaidi ya viongozi kuziuza watakavyo. Hakuna uwazi na uwajibikaji. Nchi ina dalaliwa zaidi ya ng'ombe minadani. Kuna machawa wanapewa airtime kuliko watu wenye uerevu.Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko
Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn hapa katikati kuanzia kwa Jakaya mwishoni kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuuliwa na kupotea mfano tukio la kuuliwa kwa Alphonce Mawazo kule Geita (mwenyekiti wa CHADEMA), kupigwa risasi kwa Lissu, mauaji ya Akwelina na mengine mengi CCM waje watuambie nani kahusika kama ni hao wapinzani basi waweke ushahidi na wawashugulikie
Kwa haraka haraka ukiangalia ni kama CCM ndo chanzo cha machafuko, kuna ajenda ipo mda huu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA familia yake ipo nje
Wana CCM wanasema kuwa kikinuka atakimbia maana familia yake ipo nje, swali kwa wana CCM kwanza kwanini kinuke na ni nani wa kukinukisha
CCM, CHADEMA na hivyo vyama vingine wote wanataka usawa madai ya CHADEMA ni tume huru ya uchaguzi l, tume ambayo haitapendelea chama fulani kwann CCM hawataki, kwanini waendelee kulazimisha hii ya sasa hivi wakati ni kweli imeonesha mapungufu makubwa? Je ni kosa watu kudai tume huru?
So tuendelee kuamini kuwa wapinzani ndo wanataka kukinukisha ama ni hawa ambao hawataki usawa, kumbuka kuwa usawa ndo unazaa amani sasa kama hawa waliopo mda huu hawataki usawa je wanaitaka amani kwel?
Vyombo vya usalama vinavyoilinda amani ya Taifa wakatii huu chini ya ccm ndo hivyohivyo ambavyo vitailinda amani wakati Taifa litakapokuwa chini ya upinzaniToka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko
Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn hapa katikati kuanzia kwa Jakaya mwishoni kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuuliwa na kupotea mfano tukio la kuuliwa kwa Alphonce Mawazo kule Geita (mwenyekiti wa CHADEMA), kupigwa risasi kwa Lissu, mauaji ya Akwelina na mengine mengi CCM waje watuambie nani kahusika kama ni hao wapinzani basi waweke ushahidi na wawashugulikie
Kwa haraka haraka ukiangalia ni kama CCM ndo chanzo cha machafuko, kuna ajenda ipo mda huu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA familia yake ipo nje
Wana CCM wanasema kuwa kikinuka atakimbia maana familia yake ipo nje, swali kwa wana CCM kwanza kwanini kinuke na ni nani wa kukinukisha
CCM, CHADEMA na hivyo vyama vingine wote wanataka usawa madai ya CHADEMA ni tume huru ya uchaguzi l, tume ambayo haitapendelea chama fulani kwann CCM hawataki, kwanini waendelee kulazimisha hii ya sasa hivi wakati ni kweli imeonesha mapungufu makubwa? Je ni kosa watu kudai tume huru?
So tuendelee kuamini kuwa wapinzani ndo wanataka kukinukisha ama ni hawa ambao hawataki usawa, kumbuka kuwa usawa ndo unazaa amani sasa kama hawa waliopo mda huu hawataki usawa je wanaitaka amani kwel?
Gentleman,Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko