Hahahahaa! Mtoto kachezea simu sio!Sasa ndio naamini kweli shule zimefungwa
Sasa hili ni tatizo kubwa ndo maana hata kwenye mitandao ming wenye follows ni kina gigmoney na sio kina mbowe au prof kabudiHahahahaa! Mtoto kachezea simu sio!
Sometimes vitu kama hivi muhimu mzee sio muda wote mnajadili vitu konki tu! Ndio maana mzee wa Liquid Pierre kapata kiki kirahisi sana kwa sababu watu wanapenda utani pia ku-refresh.
Huyo jamaa ni tofauti sana na watanzania wengi.!Mbona kawaida sana...Halafu Maxence Melo yupo Cool sana na pia ni mtu poa sana tu.
Sasa hili ni tatizo kubwa ndo maana hata kwenye mitandao ming wenye follows ni kina gigmoney na sio kina mbowe au prof kabudi
bora nimfollow chin bees kuliko kabudi asiee
Ni mfano tu mkuu punguza hasira hahhaa
Njaa. Haina mjanja.. Kabudi Ni mzuri tu sema ndo kazi aliyopewabora nimfollow chin bees kuliko kabudi asiee
Njaa. Haina mjanja.. Kabudi Ni mzuri tu sema ndo kazi aliyopewa
Nasikia huyo prof. akitaka kudanganya hua anatoa macho balaa ili uogope kumhoji.Njaa. Haina mjanja.. Kabudi Ni mzuri tu sema ndo kazi aliyopewa
Nasikia huyo prof. akitaka kudanganya hua anatoa macho balaa ili uogope kumhoji.
Kwaiyo umuelewe tu hata ungekua wewe yamkini ungefanya zaidi yakeyeah..na kawaida ya mila zzetu hutakiwi kula ukiwa unaongea😋😊😊unaweza mwaga msos wa mdomoni..
Hahah una kumbukumbu sana hahah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ule msemo alousema bungeni huwa haunitoki alitoa jicho had povu mdomoni likajaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia huyo prof. akitaka kudanganya hua anatoa macho balaa ili uogope kumhoji.
the best comed 2018bora nimfollow chin bees kuliko kabudi asiee