Je, kwa Moshi au Arusha, kuna kampuni ya kufufua old/dead land Cruiser cars?

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Hello wakuu,

Kama title inavyojieleza, je Arusha au Moshi kuna kampuni inayonunua na kufufua Land Cruiser cars mbovu zilizochoka?

Niliwahi sikia sikia kitu kama hicho huko Moshi (if not Arusha). Naombeni kufahamu jina la kampuni hiyo.
 
Sio hizo tuu pia magari mengine wanafufua sana yani kunaa mafundi wa magari wazuri sana sana ila bei yao ilikua balaaa
 
Ahsanteni wakuu.

Hao 'HansPaul' ndiyo wale wanafufua gari halafu wanaweza linunua wao wenyewe? I need something like that.
 
Kwa Bei Chee; Cheki na Jamaa fulani anaitwa JJ Black, yupo Arusha(Nane nane ndani); Anamafundi wazuri sana wa Cruiser; Huwa anahudumia LX yangu na kutendea haki vilivyo.
Kama Uko vizuri Check na CAPITAL ZONE na HANSPAUL; Ila hawa Bei zao ni Balaa.
 
Hello wakuu,

Kama title inavyojieleza, je Arusha au Moshi kuna kampuni inayonunua na kufufua Land Cruiser cars mbovu zilizochoka?

Niliwahi sikia sikia kitu kama hicho huko Moshi (if not Arusha). Naombeni kufahamu jina la kampuni hiyo.
capitalzone wanafanya kazi njema
 
Nawakubali capital zone..arusha mzambarauni kona ya mbauda..hutajutia mkuu ila mpunga uwe wa maana kwani kazi zao sio za kitoto..
 
Hanspaul na Rajinder wao wanarefusha body tu ..mtafute JJ black ndo mtaalam Wa hizo mambo,yuko ndani ya nanenane ground..
Habari za kitambo wakuuu.
Naomba namba ya huyu Fundi JJ BLACK wa Arusha.
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…