Hivi ktk mtizamo duni kabisa J.S WARIOBA katika uadilifu wake na utumishi wake uliotukuka na ktk itikadi yake iliyozama ndani ya chama cha mapinduzi,je angeliweza kweli "kubuni" mapendekezo ya watanzania kuhusiana na suala la serikali tatu,ili kui favor CDM