Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Wakuu habarini za Jpili,
Tutafakari sote kwa maslahi ya Taifa letu. Upinzani kama upinzani ingawa haujawa on right way ya kushika hatamu but umesaidia sana kuibua kashfa nyingi sana nchini za kifisadi, uhujumu uchumi, ubadhirifu na utendaji mmbovu. Sasa nna swali. Huo upinzani pamoja na mapungufu waliyonayo bado wangekua msaada san kuishauri serikali, kuikosoa na kuibua kashfa mbalimbali.
Je, unapotaka kuufutilia mbali upinzani hata bungeni wasiwepo lengo ni nini hasa? Hutaki waibue kashfa mbalimbali na ufisadi?
Pili, unapowapa kinga ya kutoshtakiwa viongowi wa mihimili ili panopotokea kashfa au ufisadi wasishtakiwe je hii inaleta taswira gan juu ya kua mzalendo?
Tatu, unapotaka kuwafunga midomo raia, wanasiasa na vyombo vya hbr juu ya kutoa taarifa za yanayoendelea nchini ni nn maana yake?
Tunajipambanua kufuata njia za China but ni uongo uongo uongo. China hata Rais, mawazir na kiongoz yeyote ukiiba, ukifanya ufisadi ni aidha kifungo cha maisha au kitanzi!! Tutafakari sana juu ya wanasiasa wetu, uzalendo ni lazima kuwepo na strong strategies na sio siasa za ulaghai.
NB; Uzalendo Tanzania bado sana tu, kwa katiba hii ya kulindana!!! Ibada njema kwa wote.