johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kufuatia kusudio la Halima James Mdee na wenzake 18 la kukata rufaa Baraza Kuu la CHADEMA wakipinga maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwavua uanachama, kwa sasa hadhi yao ikoje?
Ni wanachama wafu ambao Baraza Kuu linaweza kuwafufua au siyo wanachama na kwahiyo siyo Wabunge?
Naomba vifungu vya Katiba.
Maendeleo hayana vyama!
Ni wanachama wafu ambao Baraza Kuu linaweza kuwafufua au siyo wanachama na kwahiyo siyo Wabunge?
Naomba vifungu vya Katiba.
Maendeleo hayana vyama!