johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kutojua kutumia kondomu kumeleta viumbe wa ajabu duniani.Mbowe kukosa ubunge safari hii imekuwa shida kwa wengine. Mwaka 2010 alisema uchaguzi haukuwa huru na hawakumtambua raisi lkn kwa kuwa mbowe na genge lake walichaguliwa hawakususia bunge...
kwa vichekesho zaidi kama hiki bofya *+49*78#Kutojua kutumia kondomu kumeleta viumbe wa ajabu duniani.
Mbowe kukosa ubunge safari hii imekuwa shida kwa wengine. Mwaka 2010 alisema uchaguzi haukuwa huru na hawakumtambua raisi lkn kwa kuwa mbowe na genge lake walichaguliwa hawakususia bunge, kadhalika mwaka 2015 hivo hivo walidai uchaguzi haukuwa huru, pia hata ule wa kinondoni uliosababisha maandamano na Aqualini kupigwa risasi pia walidai sio huru lkn bungeni waliingia na mpunga wa ruzuku walivuta kama kawa.
So iweje mwaka huu baada ya yeye kushindwa ndio imekuwa nongwa? Eti kwa vile yeye kaangukia pua basi na wengine wasifike bungeni!
Mnazunguka tu, kosa kubwa ni halima na genge lake kwenda kujiapisha bila kupendekezwa na chama.Kosa hili ni kosa kubwa Sana, halima ameihujumu chadema kwa mikono yake mwenyewe.Adhabu aliyopewa halima inastahiliMbowe kukosa ubunge safari hii imekuwa shida kwa wengine. Mwaka 2010 alisema uchaguzi haukuwa huru na hawakumtambua raisi lkn kwa kuwa mbowe na genge lake walichaguliwa hawakususia bunge, kadhalika mwaka 2015 hivo hivo walidai uchaguzi haukuwa huru, pia hata ule wa kinondoni uliosababisha maandamano na Aqualini kupigwa risasi pia walidai sio huru lkn bungeni waliingia na mpunga wa ruzuku walivuta kama kawa.
So iweje mwaka huu baada ya yeye kushindwa ndio imekuwa nongwa? Eti kwa vile yeye kaangukia pua basi na wengine wasifike bungeni!