Je, kwa njia hii mtu aneweza kusoma shahada ya udaktari(MD)?

Je, kwa njia hii mtu aneweza kusoma shahada ya udaktari(MD)?

Shabby kng

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Ndugu zangu wana jf natanguliza salam. Eti wana jf je mtu anaweza anaweza kusoma MD akatokea ngazi ya diploma clinical officer kwa kutumia cheti cha form4 tu. Maana naskia huyu co mwenye cheti cha form4 mpaka apite (AMO) yani advanced diploma ya medicine eti wana jf ni kwel? Naombeni msaada wenu wana jf. Matusi hayana tija kunijenga kimawazo na mimi nikaelewa
 
ukiwa na dipl ...i mean c.o unaeza fanya MD na sio lazima uwe na AMO bt utasoma miaka mitano kama form six leavers
 
Back
Top Bottom