Jamani naombeni mawazo yenu mimi nilimaliza kidato cha 6 sita mwaka 2011 na kupata division 3 ya 15 na kupata principle moja na subsidiary but now nataka kurudia mitihani mitatu ili miwili yani english na history na GS kama kawa .
Je! nikipata principle moja nikaunganisha na ile niliopata mwaka 2011. Je! nitapata mkopooo?nataka kusomea education…!!