Je, kwa Tanzania kushindwa kutoa tena Waamuzi Kuchezesha Michuano ya CAF bado tuendelee Kujivunia kuwa Ligi yetu ni ya 5 kwa Ubora Afrika?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ndiyo maana GENTAMYCINE nilikataa na hadi leo naendelea Kukataa kuwa Ligi Kuu yetu ya NBC Premier League ni Bora na ni ya Tano ( 5 ) kwa Ubora Afrika.

Ila nikiambiwa kuwa Ligi Kuu yetu ni ya Tano ( 5 ) kwa kuwa na Hamasa Barani Afrika GENTAMYCINE nitakubaliana nayo kwa 100% ila kwa Ubora Kiuchezaji, Kimafanikio na Kimaendeleo nitakataa hadi Pumzi yangu ya mwisho hapa duniani.

Yaani kila mwaka tu CAF wakiteua Waamuzi wa Kuchezesha Michuano mikubwa ya Kimataifa Tanzania haitoi / hatutoi hata Mmoja halafu leo Mijitu mizima Mipumbavu ( Mipopoma ) na Elimu zao Mchanganyiko inadanganywa kuwa Ligi yetu Kuu ya Tanzania ( NBC Premier League ) ni ya Tano ( 5 ) kwa Ubora Afrika na inaamini.

Hovyo kabisa......!!
 
Popoma again [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hapa kuna kaukakasi mataifa mengi wametoka,Tanzania hata mmoja hakuna .lakini hili lipo wazi Wenda anaesema ligi yetu ni Bora atakuwa hajui maana ya ubora,
Wahusika ni vyema mkalitazame na hili
Si jambo dogo hata kidogo
 
Ndiyo maana GENTAMYCINE nilikataa na hadi leo naendelea Kukataa kuwa Ligi Kuu yetu ya NBC Premier League ni Bora na ni ya Tano ( 5 ) kwa Ubora Afrika.

Ila nikiambiwa kuwa Ligi Kuu yetu ni ya Tano ( 5 ) kwa kuwa na Hamasa Barani Afrika GENTAMYCINE nitakubaliana nayo kwa 100% ila kwa Ubora Kiuchezaji, Kimafanikio na Kimaendeleo nitakataa hadi Pumzi yangu ya mwisho hapa duniani.

Yaani kila mwaka tu CAF wakiteua Waamuzi wa Kuchezesha Michuano mikubwa ya Kimataifa Tanzania haitoi / hatutoi hata Mmoja halafu leo Mijitu mizima Mipumbavu ( Mipopoma ) na Elimu zao Mchanganyiko inadanganywa kuwa Ligi yetu Kuu ya Tanzania ( NBC Premier League ) ni ya Tano ( 5 ) kwa Ubora Afrika na inaamini.

Hovyo kabisa......!!
Popoma hivi kweli WAAMUZI wetu akina Kayoko, Rukia sijui nani ndy waende AFCON kweli? Wewe mwenyewe unawashuhudia maujinga wanayoyafanya viwanjani mpira wa miguu ni mchezo wa wazi Kila mtu anaona tofauti na mapenzi watu wanajifungia vyumbani inakuwa siri yao

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Tunaposema league yetu bora ni kutokana na points tunazokusanya katika mashindano ya CAF(Both CAFCL and CAFCC).

Kufika kwetu Makundi,robo,nusu na fainali kwa klabu zetu ndio kitu kinachofanya tuwe bora na tuwe point nyingi.

Kua na mareferee bora sio factor 'kubwa' ya ligi yetu kua bora..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya yako ya mwisho imenifanya Nikudharau mno.
 
Hawa waamuzi wanaovurunda Kila siku halafu wanatetewa makosa ya kibinadamu. Waliofungiwa wanaombewa msamaha lakini madudu yaleyale.
 
Kwani waliosema ligi yetu ni ya tano kwa ubora afrika ni akina nani kwanza tujuee
 
Kwa nyuz hizi za kipopoma ni kweli hatuwez kupata watu wwenye ufikiri wa kina na maamuzi kama waamuzi wanaohitajika katika level hiyo
 
Warefa wa Kitanzania wakichezesha mechi zisizohusisha simba na Yanga wako fair...ikitokea underdog acheze na YANGA Au SIMBA. na wasiwe na matokeo hadi dk za 75+ hapo ndipo marefa wetu huharibu profesheni zao..
 
Huvurunda tu wala sio Kwenye mechi zinazoihusu Simba na Yanga tu ni kote kote
 
Sema wewe popoma,viwanja vibovu,timu inakuja uwanjani na watu sita,waamuzi hawajui sheria,siasa kila kitu,.watu wanachanganywa na mafanikio ya simba na yanga na ubora wa ligi,.tz ligi ya timu mbili wengine wanapambana wasishuke
 
Back
Top Bottom