jina langu
Member
- Jul 16, 2017
- 54
- 98
Shukrani ndugu unaweza Nipa mwanga kidogo kuwa application zinafanyikia wapiAnaweza na ataanzia ATEC LEVEL
Ahsante mkuu maana nimeona sehemu sijui inabidi uwe na credit tatu na anko hapo anazo mbili tu, vipi kuhusu mihula yao Yani kumaliza course moja kwenda nyingine interval yake ikoje?Tafuta center inaitwa KAS wapo Mnazi mmoja kama upo Dar,Wanatoa hizo course za ATEC-CPA huyo anasoma kuanzia nadhani Atec,kuna jamaa yangu yeye hata cheti hakuwa nacho cha form 4 alianzia foundation course kaja nabe 1na nabe 2 sasa hivi anaitafuta CPA.
Kama uko Dar nenda ukaulizie....mimi sifahamu wanalipa aje ila anko vigezo anavyo mpaka vimepitiliza,huko watakupa maelekezo maana akishasajiliwa anakuwa anafanya mitihani ya bodi ya uhasibu.Ahsante mkuu maana nimeona sehemu sijui inabidi uwe na credit tatu na anko hapo anazo mbili tu, vipi kuhusu mihula yao Yani kumaliza course moja kwenda nyingine interval yake ikoje?
Ahsante mkuuKama uko Dar nenda ukaulizie....mimi sifahamu wanalipa aje ila anko vigezo anavyo mpaka vimepitiliza,huko watakupa maelekezo maana akishasajiliwa anakuwa anafanya mitihani ya bodi ya uhasibu.
Nisaidie mkuu ,hayo mawasilianoPia kuna Centre inaitwa Covenant iko vizuri mm nasoma....jamaa pia kakutajia nyingne hapo nadhani wanaiita kwa rashidi sijui, ila ukitaka mawasiliano nao naweza kukupa
Umesaidia sanaPiga namba hii 0713664640