Je, kwa ufaulu huu dogo aende course gani ya Afya?

Nkwarumbe

New Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Wakuu habarini za wakati huu natumahi muu wazima wa Afya me upande wangu me ni mzima kabisa..

Moja kwa moja naomba mnipe ushauri nina mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ila wamempangia combination ambayo hajaipenda ya arts ambapo yeye alisoma sayansi na matokeo yake alipata div 3, 26 Civ D, Hist C, Geo D, kiswa C, Phy D, Eng D, Chem C, Bio C na B/math F.

Kati ya course pendekezwa ni nursing,pharmacy na clinical officer na pia vyuo vya serikali ambavyo vinatoa course hizo na je kwa ufaulu inawezekana kwenda diploma au itabidi kuanzia certificate?

Nitashukuru sana kwa maoni na ushauri wenu nipo hapa kupokea..
 
Mwambie aende physiotherapy au optometry au dental hizo kidogo Zina sokooo Tena dental ndyo sanaa.
 
Vyuo vingi Wanataka credit ya maths ambayo yeye hana
Yeye kwanza anataka NN ali ashauriwe.
Clinical officer simshauri hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…