Je kwa Uzembe huu wa madaktari ulivosabababisha kumpoteza mdogo wangu,nilikosea kuwaacha ningechukua hatua??,(ukweli)

Laaah, pole sana kiongozi, inasikitisha kiukwel. Ila mie huyo nessi lazima ningemshughulikia kwa namna yoyote.
 
Pole sana..mpaka leo naamini waafrika wengi hufa kwa uzembe wa wahufumu wa afya..iwe kupewa huduma mbovu..kucheleweshwa hospitali..ukosefu wa tiba sahihi kwa wakati..na mwisho umasikini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Haya yanatokea Kila siku, manesi na madaktari hupona mkono wa Sheria kwa hulka uliyoionesha, yakuwacha mambo yapite au yaishe.
Sielewi kama ni uhaba wa wafanyakazi au ni mazoea. Yaani bora mgonjwa ana ndugu yake wodini, basi wauguzi na matabibu wetu hawapiti kuwaangalia, mpaka ndugu akatoe taarifa, una bahati walikuwa wakija mara moja, wengine huchukua muda hata baada ya kuitwa.
Poleni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…