Je kwani watanzania ni lazima tukihitimu elimu zetu tuajiriwe na serikali

Je kwani watanzania ni lazima tukihitimu elimu zetu tuajiriwe na serikali

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Ni kua watanzania wengi na nikiwemo mtazamo wetu ni kua ajira zinapatikana serikalini ama taasisi fulani,sasa je hatuwezi kuwaza kujiajiri wenyewe,na kama haiwezekani unadhani elimu uliyopata ina ujuzi wa wewe kuajiriwa na si kujiajiri mwenyewe,na kama wanaoajiri wakigoma tusubirie wakiajiri tena ama basi hakuna mbinu mbadala ya kujiajiri
 
Pole yako we unaewaza kuajiriwa tena na serikali.
 
Back
Top Bottom