Je, kwanini bidhaa za Uturuki zina bei?

Sultankundi

Member
Joined
May 10, 2023
Posts
26
Reaction score
37
Habari,

Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania.

Katika kipindi cha miaka ya Karibuni miongoni mwa bidhaa zinazoongoza kuchukuliwa kutoka uturuki ni bidhaa za umeme vyenye thamani ya shilingi b.85, Nondo b.67, na bidhaa nyingine nyingi.

Kwanini bidhaa kutoka Uturuki zina bei?

Tukija kwenye swali letu

Sababu kubwa ya bidhaa za Uturuki kuwa na bei ni kutokana na ubora wa bidhaa hizo

2. Wazalishaji wengi wanazalisha ili kukidhi haja za masoko makubwa barani Ulaya kama Germany hivyo bei zao hulenga kutokana na hali za uchumi za masoko hayo.

Hivyo basi hizo ni sababu chache zinazofanya bei ya bidhaa za Uturuki kuwa ghali ukilinganisha na masoko mengine.

Karibuni muagize nasi bidhaa bora kama vile nguo za watoto, makoti, nguo za wanawake na bidhaa mbalimbali.

 
Sababu watu wapo willing kuzinunua kwa hizo Bei.

Wafanyabiashara wa bongo wakifika Uturuki wanaenda maduka makubwa ya Brand wananunua sample wanazunguka mtaa wa nyuma ile sample inatengenezwa clone yake tunakuja kuuziwa substandard huku kwetu.

Wengine wananunua China na kusema zinatoka Uturuki.

Kifupi ukisikia kitu Cha kituruki ama Thailand ama Dubai ni marketing term zaidi kuliko Quality.
 
Kuna safety boot made in turkey nakitafuta sana
 
Upo sahihi kabisa, haswa hizi abaya za dada zetu, ila mimi nipo uturuki mwaka wa 5 sasa bidhaa zao ni nzuri ukiachana na hizo ambazo ziko branded ila hazijatoka moja kwa moja kutoka uturuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…