Timu zinazoujua.Nimefanya utafiti Baada ya droo za CAFCL kutoka tarehe 12 na nimepata kugundua kuwa mechi ya Yanga na mamelodi ndio mechi inayoteka hisia zaidi kuliko Even mechi zote ......
Makolo pia wameendelea kuingia kwenye mfumo wa Yanga Kwa kuzungumzia mechi hii zaidi ....huku wengine wakisahau yao
Takwimu: kwenye Kila wa Tanzania 10 ......7 kati yao wanaizungumzia Yanga zaidi
Je tatizo ni ukubwa wa hizi timu .... playing style zake???View attachment 2939896
Mwaka wa 3 huu wanashiriki Ligi ya Mabingwa, huku wakiwa siyo Mabingwa kwenye nchi yao!! Tunawaangalia tu wanavyo jibweda! 😁[emoji23][emoji23] wanasubiri kubebwa
WACHA UFOO,HAKUNA MTU ANAYESHANGAA BALI MECHI INAZUNGUMZIWA SANA NA MAONGEZI HAYO HAYAONESHI WATU KUSHANGAA BALI WATU WANA HAMU NA KANDANDA SAFI WATAKALOLIONA SIKU HIYOHata mimi nikusikia USA na Burundi wanatunishiana Misuri ya Kijeshi lazima nishangae bana.
Wananchi ni zaidi ya wanasii hasa wa nchi😆Nimefanya utafiti Baada ya droo za CAFCL kutoka tarehe 12 na nimepata kugundua kuwa mechi ya Yanga na mamelodi ndio mechi inayoteka hisia zaidi kuliko Even mechi zote ......