Je, Kwanini mechi ya Yanga na Mamelodi ni gumzo zaidi hapa Afrika?

Lazima watu washangae chui kupambana na pimbi
Yaaah mkuu....hapa miamba inakutana ....mmoja bingwa wa East & central Africa

Mwingine ni bingwa wa south Africa
 
WACHA UFOO,HAKUNA MTU ANAYESHANGAA BALI MECHI INAZUNGUMZIWA SANA NA MAONGEZI HAYO HAYAONESHI WATU KUSHANGAA BALI WATU WANA HAMU NA KANDANDA SAFI WATAKALOLIONA SIKU HIYO
Ahya poa, siku nazo hazigandi hata wewe utakaposhangazwa.
 
Ni kwa sababu hiyo mechi inawahusu Mabingwa wa nchi! Siyo kama wale wengine wanaoshiriki kupitia viti maalum.
Kwamba hilo nΓ­ jasho lao kwΓ  kuingia mara kwΓ  mara robo fainali sio wale wanaochukuaga ubingwa kwahisani za akina Malinzi aliyeitangazia dunia kamwe SIMBA haiwezi kuchukua ubingwa yy akiwa Rais wa TFF
 
Mpaka mtu aelewe, ni lazima uje na maelezo marefu kweli kweli! Ila kiukweli Ligi ya Mabingwa, inatakiwa kuwahusisha Mabingwa wa nchi pekee! Na siyo kuwahusisha viti maalum.
 
Africa wapi?sema huko kwenu bongo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…