Je, Kwanini mechi ya Yanga na Mamelodi ni gumzo zaidi hapa Afrika?

Hahaha ha gumbo sna niuonevu mkubwa uto amefanyiwa
 
Aahaaaa
 
Waache kuzungumzia mechi wanayokutana bingwa mtetezi na timu inayoshika nafasi ya tano kwenye ranking za Caf wake wazungumzie mechi ya utopolo.
 
Sasa upoteze muda kujadili mechi ya Simba vs Alahal?
Hapo mshindi kesha julikana ni nani, hivyo itakua kupoteza muda kuijadili mechi hiyo.
 
Wote ni mastaaa yani mabingwa[emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]!

Kila la kheri Yangaaa [emoji172][emoji172][emoji172][emoji123]
Cc Smart911
In addition
....wote ni green & yellow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…