Mume wa mleta mada ana Kazi Kwelikweli kufuga kiumbe cha hivi.
Huyu dada Kila siku ni vichambo tu humu jf . Kutwa nzima nyuzi 100 za kuichamba simba . Kwa Hali hii sidhani kama kuna wifi au shemeji yako upande wa mumeo mnayepatana naye