Je, kwanini Rais wa Zanzibar alikuwepo katika Kikao cha Baraza la Mawaziri? Fahamu uhalali wake Kikatiba

Mh Mpango atabaki kuwa Makamu wa Rais bara ila pia Mh Hussen Mwinyi atabaki kuwa Makamu wa Rais ambaye hushiriki katika maswala ya Muungano na kumsaidia Rais ktk majukumu yake!
Kwa maana hiyo Mh. Mpango sio kiongozi upande wa Zanzibar?
Yeye ni kiongozi wa bara pekee?

Na kwa maana nyingine kwenye kikao hapo Mh. Mpango alikuwa mwakilishi wa Tz bara kama makamu wa raisi na Mh. Mwinyi kama makamu wa raisi upande Zanz??
 
Civics form one inasema
Rais wa Zanzibar nae anaingia kwenye baraza la mawaziri
 
Hapo bado kuna mtu utamsikia anasema eti Zanzibar inainyonya Tanzania Bara, kama kwel mtu akisoma na kuelewa atagundua nani yupo chini ya nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…