Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Wenzetu Malawi wameshaanza kutumia huduma ya starlink toka mwezi July sisi Tanzania tunasubiri nini au waziri wa mawasiliano anakazia ni nini hasa?

images (5).jpeg
 
Mitandao ya simu yote tz watakuwa awaudhi tena internet, kuna watu wengi wanazo bongo wanatumia na wanagiza kutoka kenya. Iko fast sana na TCRA nadhani awajui maana zilitumika sana ukraine. Sijajuwa kama TCRA wanaweza kutrack Satellite Internet za watu ambazo wanazo mitaani, mm mwenyewe ntaitaguta nijaribu maana sio bei wala nn, nasikia 300MBps

Shule za Rwanda kutumia internet ya Starlink
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom