Je kwanini tunafoka?

Nimeipenda hii ila hawa binadamu wanakera sana tena wengine kwa makusudi ,sio mbaya mapenzi yakivunjika nntakuwa nimeepuka mengi na nntatafuta mwingine..
 
Mapepo wakati mwingine, unajikuta tu una donge
 
Amen.
 

Huyo mwalimu atakuwa jesca kilaza.

Ktk mental health kuna kitu kinaitwa defence mechanism hii kila mmoja wetu ana ya kwake na hutokea tu pale MTU anapokabiliana na tatizo. Zipo ktk form nying na nyingne ni health nyingne mentally ill

Kuna aina moja wapo inaitwa Ventilation hii hutokea pale mtu linapomkuta jambo na kumeletea athari ktk afya ya kiakili mfano hilo jambo lilimepelekea kukasirika (aggressive) hali hii ya kufoka hutokea na humsaidia mtu kupata relief na kupunguza mzigo aliona nao Wa hasira
 
Mohamedy cadinaly hebu Nenda deep kidogo kwa maslah ya umma
 
Asante mkuu kwa posti nzuri. Kuna mambo mengi binadamu hatuyajui, hivyo ni vizuri kuacha milango wazi ili tuzidi kupata elimu.
 
Mbona akinikosea huwa tunanuniana hatusemeshani ht wiki.hamna kufoka wala nn kila kitu kimyakimya!!hapo umesema mkifokeana mnajenga umbali je mkinuniana kmykmy mtajenga ukaribu?!
 
Hembu leta more material brother kaka watu tuelimike. hili ni jukwaa la kuelimishana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…