Ndg. N kuoga ni kusafisha mwili na ngozi ya juu ya mwili.. ila huko katikati ni mlango wa mwisho wa kutoka uchafu tumboni !! Lazima panuke !!!Kunuka katkati ya makalio hata kama umetoka kuoga ni nini kinasababisha! Hata utie Marashi, kuna harufu ya uchafu inatoka ikitokea umejishika aidha kwa bahati mbaya ama kukusudia.
Tafadhali maelezo kwa wataalamu wa mwili wa binadamu hususani madaktari.
Hahaaaahaa, haya mama nakupata.
Sasa umama nimepata wapi wewe..?Hahaaaahaa, haya mama nakupata.
Usijali...karibu sana...OOh I'm sorry Mkuu! Jina nililisoma vibaya
Hahaha au me nimekuelewa vibayaWenyewe wameshakuelewa wataanza kuku-pm muda si mrefu.
Hahaha hivyo hivyoHahaha au me nimekuelewa vibaya
Sor kina nani hao
Aiseee, kumbe wanajuana kwa virembaWenyewe wameshakuelewa wataanza kuku-pm muda si mrefu.
Mende.....Hahaha au me nimekuelewa vibaya
Sor kina nani hao