Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nannyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu
Imekuwa ni kawaida sana kila nipitapo unakuta mtu kafungulia saut ya juu kabisa huku ikisema JE HUU NI UNGWANA? LAHASHA HUU SI UNGWANA Kipindi kinachorushwa na radio free afrika ya wilayan ilemela
Pia vile vile ni mara nyingi ukipita mitaan hasa asubuh utakuta watu wameweka saut ya juu sana wakisikiliza clouds
Tofaut na wasilikilizaji wa radio zingine ambao husikiliza kwa saut za chin sana na kistarabu sana
Sasa bas ni kwanini wasikilizaji wa radio free africa ya mwanza na clouds ya dar huwa wanapandisha sana saut za radio wakiwa wanasikiliza radio zao
Na kuna kitu kingine nimekiona hivi clouds huwa inasikilizwa asubuh tu na mchana huzimwa au shida iko wapi mbona sijawah sikia mtu akisikiliza radio clouds mchana, jion au usiku? Au mchana, jion na usiku hawana vipind vizur au shida iko wapi
LONDON BOY