Je, kweli kuna laini ambazo hazikatwi tozo za miamala?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Kufuatia ongezeko la kodi ya makato ya utumaji na utoaji pesa kwa njia mtandao masikia kuna laini ukienda kituo cha mtandao unaotumia unaenda na tin namba na leseni yaa biashara unapewa hiyo laini yenye namba ambayo ukitumia kutuma au kutoa pesa hukatwi chochote je!

Ni kweli au mimi nimesikia vibaya mwenye kujua plies atufafanulie hili.

Hii inaweza kuwa nafuu ya kukimbilia kama ni kweli.
 
Hyo line unayopewa inaitwa til. Ni laini inayotumiwa na mawakala kufanya miamala
 
Back
Top Bottom