NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
NGOJA WAJE KUTUKANA MATUSI.Mropokaji huyo
Mbumbumbu Fc ......wasimsingizie Samuel Eto , ni ujinga wao tu.Nilimuona kijana mmoja(Ahmedy Ally) kwenye interview akisema kuwa "Samuel Etoo alitupigia simu na kutusihi kuwa tusimuache Esomba Onana"
Je Kuna ukweli wowote au Ahmedy Ally alitaka kuthibisha Yale maneno aliyoyasema Mwenyekiti msitaafu wa Simba sc Rage (Sitoyataja kwa maana yanajulikana).
Endapo Onana kiwango kitaendelea kuwa chini hapo watalaumiwa kamati ya usajili au Samuel Etoo??
Nawasilisha hoja.View attachment 2793756
Onana alitambulishwa siku ya mkutano mkuu
DAH NGOJA WAJE WAKUSHAMBULIEOnana alitambulishwa siku ya mkutano mkuu
Akapiga danadana
Mbumbumbu wakalipuka kwa furaha
Rage okoa mbumbumbu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenu ni mmoja tuu,nae ni Rage wengine wote mbumbumbuHuna namba ya simu ya Etoo uongee naye?Ni wawili tu.
Labda Mamelod ya KizimkaziOnana haendani na mfumo wa Uchezaji wa Simba.Onana anachezea sana mpira.Akipata timu kama Mamelod ndo anaweza kuendana nayo.
AiseeeeOnana alitambulishwa siku ya mkutano mkuu
Akapiga danadana
Mbumbumbu wakalipuka kwa furaha
Rage okoa mbumbumbu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umekubali kuwa Etoo alipiga simu?Umekurupuka.
Japo Ahmed Alikuwa anafanya Masihara.
Ila Alikuwa ni Che Malone Fondoh na si Onana.
Pathetic.
Shoga Mkuu ni weweNyuzi za mashoga
πππππShoga Mkuu ni wewe
ONGEA NAE WEWE KWANZAHuna namba ya simu ya Etoo uongee naye?Ni wawili tu.