NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
KUNA WANASIMBA WANAMUAMINI KWA ASILIMIA MIA.Mchezaji kufaulu na kufeli ni kawaida, kwa kiwango cha onana simba day na game na mtibwa onana anajua mpira ila anahitaji muda wa kupata nafasi, ajiamini, aaminiwe na mashabiki ili ikitokea anakosea kama FUNDI chama watu waamini ni kipindi cha mpito tu.
Kama akiwa flop ye si wa kwanza kina torres, di maria, shevchenko na wengine wengi wameshawahi kuwa flop huko.
Swali la msingi ni je samuel etoo alipiga simu, [emoji23] mie naamini 99.9999% si kweli ni mbwembwe tu za ahmed ally.
Hawawezi kuwa na akili timamu..KUNA WANASIMBA WANAMUAMINI KWA ASILIMIA MIA.
AaahaaaOnana alitambulishwa siku ya mkutano mkuu
Akapiga danadana
Mbumbumbu wakalipuka kwa furaha
Rage okoa mbumbumbu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umekubali kuwa Etoo alipiga simu?
SawaUNAAKILI TIMAMU KWELI????
Nimeandika Ahmed alipokuwa anawatambulisha HAO wachezaji ilikuwa ni viwanja VYA Leaders CLABU
(Simba walikuwa na event na CRDB bank)
Ahmed akatania kwa kusema samwel Etoo ameipongeza Simba kwa Kusajili ukuta WA Yeriko Che Malone Fondoh.
Sema kwasababu wewe si mwelewa ndio maana Huelewi.
"Rafiki yetu SAMUEL ETOO ndiye aliyetushawishi kumsajili ONANA alisema ni chuma kizito" - Ahmed Ally, Afisa habari wa klabu ya Simba SC.UNAAKILI TIMAMU KWELI????
Nimeandika Ahmed alipokuwa anawatambulisha HAO wachezaji ilikuwa ni viwanja VYA Leaders CLABU
(Simba walikuwa na event na CRDB bank)
Ahmed akatania kwa kusema samwel Etoo ameipongeza Simba kwa Kusajili ukuta WA Yeriko Che Malone Fondoh.
Sema kwasababu wewe si mwelewa ndio maana Huelewi.
Nikikumbuka huwa nalia sanaOnana alitambulishwa siku ya mkutano mkuu
Akapiga danadana
Mbumbumbu wakalipuka kwa furaha
Rage okoa mbumbumbu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp skudu naskia ana magoli kumi na assist saba pale utopolon na nyimbo moja ya amapiano katoa😄😄😄Onana alitambulishwa siku ya mkutano mkuu
Akapiga danadana
Mbumbumbu wakalipuka kwa furaha
Rage okoa mbumbumbu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
"Rafiki yetu SAMUEL ETOO ndiye aliyetushawishi kumsajili ONANA alisema ni chuma kizito" - Ahmed Ally, Afisa habari wa klabu ya Simba SC.
Nilimuona kijana mmoja(Ahmedy Ally) kwenye interview akisema kuwa "Samuel Etoo alitupigia simu na kutusihi kuwa tusimuache Esomba Onana"
Je Kuna ukweli wowote au Ahmedy Ally alitaka kuthibisha Yale maneno aliyoyasema Mwenyekiti msitaafu wa Simba sc Rage (Sitoyataja kwa maana yanajulikana).
Endapo Onana kiwango kitaendelea kuwa chini hapo watalaumiwa kamati ya usajili au Samuel Etoo??
Nawasilisha hoja.View attachment 2793756
HUNA AKILI WEWE.TABULALASA .
UTOTO RAHA SANA JAMANI