MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi!
Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia kwenye El classico hii pamoja na nyingine iliyopita, Huwa ana score lakini ushindi wa timu hakuna!
INASHANGAZA.
All in all, Barcelona Bingwa, Yanga Bingwa.
Kumbe ulisikia ila huna ushahidi? Wahenga husema "there's no right to talk in the republic without having an imperical evidence".Tena Gundu sugu sana, ila sbb nilisikia anatembea na shoga, yaani yeye ndio mume, ni laana kabisa anayo huyo Mbappe
Kumbe ulisikia ila huna ushahidi? Wahenga husema "there's no right to talk in the republic without having an imperical evidence".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
MBappe hana shida, shida ipo kwe ye beki na viungo, Suremen na mwenzie hawaelewani, mmoja anatega offside mwingine anaiua, katikati, JUDE ndo shidaa kaflop sana tena sana,Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi!
Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia kwenye El classico hii pamoja na nyingine iliyopita, Huwa ana score lakini ushindi wa timu hakuna!
INASHANGAZA.
All in all, Barcelona Bingwa, Yanga Bingwa.
Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi!
Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia kwenye El classico hii pamoja na nyingine iliyopita, Huwa ana score lakini ushindi wa timu hakuna!
INASHANGAZA.
All in all, Barcelona Bingwa, Yanga Bingwa.
Kumbe ulisikia ila huna ushahidi? Wahenga husema "there's no right to talk in the republic without having an imperical evidence".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mkuu huyu Jude hata Mimi nimemuona nikadhan sijui mpiraMBappe hana shida, shida ipo kwe ye beki na viungo, Suremen na mwenzie hawaelewani, mmoja anatega offside mwingine anaiua, katikati, JUDE ndo shidaa kaflop sana tena sana,
Yani ni ZEROMkuu huyu Jude hata Mimi nimemuona nikadhan sijui mpira
Anazingua kinoma
Ameshinda worldcup na uefa national league unasema ana gundu akili za wapi hiziKuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi!
Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia kwenye El classico hii pamoja na nyingine iliyopita, Huwa ana score lakini ushindi wa timu hakuna!
INASHANGAZA.
All in all, Barcelona Bingwa, Yanga Bingwa.
Transgender sio shoga
Daah, hii dunia ukiona mtu katoboa wakati mwingine usitamani kuwa kama yeye maana nyuma ya pazia kuna mengi usiyoyafahamu
Ni Upgraded Shoga.Transgender sio shoga