Je laptop ni muhmu kwa mwanafunz wa diploma

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Kwa anayejua tafadhal naomba anijuze ili nianze kufanya michakato na mapemaa
 
Ni muhimu kwa kila mtu kujua matumizi na oparation za computer utake usitake, kama una uwezo huo sasa, fanya, kama hauna uwezo acha, watu wanamaliza chuo kikuu hawana laptop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…