Wakiamua kuongeza makato ni rahisi.. ila haitokuwa na afya... Sema lipa imerahisisha sana. Sasa hivi naona ugumu kutoa hela kwenye wallet hata ninazo..ni mwendo wa lipa hapaLipa namba ndio habari ya mjini tunaelekea cashless economy watafute vyanzo vingine vya mapato, kama kuwakata kodi wabunge, mawaziri na raisi wao.
Makato ya sasa bado ni makubwa sana hasa kwa mitandao tofauti, maana hizo hela tayari zimeshakatwa Pay as you earn na kama ni mfanya biashara zimeshalipiwa kodi ya mapato, na pia tunapolipa tayari zile bidhaa zinakatwa kodi, transaction fee kama operation cost ya mtoa huduma kwa nchi maskini kama Tanzania ilipaswa isizidi Tsh 30. Hii ni kutuongezea umaskini tu.Wakiamua kuongeza makato ni rahisi.. ila haitokuwa na afya... Sema lipa imerahisisha sana. Sasa hivi naona ugumu kutoa hela kwenye wallet hata ninazo..ni mwendo wa lipa hapa
Naam Naam safi kabisa💯Lipa namba ndio habari ya mjini tunaelekea cashless economy watafute vyanzo vingine vya mapato, kama kuwakata kodi wabunge, mawaziri na raisi wao.