Nadhani akitoka ndani ataendelea kuutekenya uchumi wa dada zetu! Mwacheni mwenzenu atulie.
Liyumba anastakiwa na kuhukumiwa kwa abuse of office powers, haangukii makosa ya hapo juu, hivyo anaweza kuachiwa, ingawa nasikia mkulu ana mihasira kwa sababu za viwanja walivyokuwa wanaruka pamojaMsamaha wa Rais kwa wafungwa hauhusishi wafungwa wenye makosa ya Rushwa,kuua kwa kukusudia,kubaka...., Being the case, Liyumba hastahili kupata msamaha wa Rais.