Ki ukweli lugha ya kiswahili ni complicated sana hususan kwenye mambo ya masomo ya computer.Ubaya unakuja pale elimu yenyewe imepangwa na wazungu hata mtaala wenyewe tunatumia wa UINGEREZA.so kazi kwenu kuvibadili vitabu kuwa kwenye kiswahili.ILA MOST YA WATALAAMU WETU WATAKUWA WANAKUWA APPLICABLE WITHIN NA LACK SOKO LA NJE.