Je M-bet ni wezi?

Wanaangalia mechi 12 za mwanzo....sio na zile za 5 za mwisho...kwahiyo kama hizo ulizopata zipo ndani ya zile 12 za mwanzo umeshinda..ila kama ni zile 5 za mwisho umeliwa
Kama hazipo kwenye hesabu kwanini ziwekwe sasa
 
Hapana sijawapigia, nilizopata 7 walizoniibia 3 jumla mech 10,tick
Twende polepole Umepata hizo jumla kumi toka kwenye 12 au umepata hio 10 toka kwenye 17; Yaani na zile extra games in case of postponement ?

Sio mchezaji ila sidhani kama seven out of 12 unapata zawadi ?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…